Wiki iliyopita actor Muhsin Awadh(Dr. Cheni) alipata mtoto mwingine wa kike katika ndoa yake actress Elizabeth Michael(Lulu) alikuwa mmoja wa waliompongeza na kuamua kujiphotoa picha na mtoto huyo then kushare kwenye social media kama anavyoonekana hapo chini..........
No comments:
Post a Comment