Friday, April 12, 2013
BABA YAKE MZAZI BOB JUNIOR ASAINISHWA NA LABEL YA WARNER MUSIC.
Mtoto wa nyoka ni nyoka siku zote, mwanamuziki Bob Junior ambaye huko nyuma alishawahi kukaririwa akisema baba yake ni mwanamuziki anayeishi ulaya so kipaji chake amerithi kwa mdingi wake huyo ndiyo wengi wataamini sasa kuwa ni kweli. Baba yake mzazi Bob Junior anaitwa Rummy Nanji(Mr.B) na ni mwanamuziki maarufu sana nchini Finland akiwa muimbaji wa kutegemewa wa band ya Mighty 44 ambayo hivi karibuni imesainishwa na label ya Warner Music Finland iliyo chini ya Warner Music Group. Bob Junior ambaye ana show nchini German siku chache zijazo kupitia facebook aliandika "Hongera Sana My Dad & Ol Crew Ya Mighty 44
Band...U Did t Guyz...Das Wats Up Hiyo Ni Big Deal WARNER
MUSIC?????????? Ohhh.... Am Proud Of U Baba..In Shaa Allah Kila La
Kheri Wakilisha Tanzania..Umenipa Mzuka Sana Nami Nije Fanya Makubwa ktk
Muziki Niwe Zaidi Yako...I Love U Dad...Rummy R. Nanji"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment