Wednesday, March 20, 2013

WEMA SEPETU AWASHANGAA WANAOMTISHIA MAISHA, ACHORWA NA MWANAFUNZI WA AZANIA HIGH SCHOOL.

Wema Sepetu has said that anawashangaa sana wanaomfatilia na kumtishia maisha katika kipindi hiki ambacho life ni ngumu lakini wao wanamfatilia na kumtumia meseji za vitisho badala ya kufanya kazi. Hivi karibuni ilidaiwa kuna watu wamepanga kumvamia Wema katika ofisi za kampuni yake kitu ambacho inasemekana kimemlazimu the popular actress kuongeza ulinzi wake nyumbani kwake na hata anapotoka.
"Nawashangaa watu wanaowafuata wengine wanapata wapi ujasiri huo na hali ya maisha ilivyo ngumu na kuhutaji muda mwingi wa kufanya kazi ili kujikwamua" alishangaa the sexy actress.

Pia kwa upande mwingine Mwanafunzi wa shule ya Azania Beda Andrew anayesoma kidato cha nne amemchora Wema Sepetu katika mchoro ambao umevutia wengi mitandaoni licha ya kuwa bado haukukamilika kuonyesha ni jinsi gani Wema anapendwa na fans wengi licha ya kuwa na scandals lukuki. Hivi karibuni Nollywood actress Genevieve Nnaji pia alichorwa na Shabiki wake kuonyesha kuwa African film stars wanakubalika kuliko hata those from Hollywood.

This is Wema Sepetu akiwa amechorwa na mwanafunzi wa Azania Sec School.

No comments:

Post a Comment