Friday, March 29, 2013

RIYAMA ALLY WITH HER BEST PERFORMANCE IN "THE DREAM"

Riyama Ally one of the most talented actresses in Swahiliwood ametoa performance nzuri sana in her latest release THE DREAM which also stars Nice Mohamed(Mtunis). Hemed Suleiman and Hadija Kopa. In the film Riyama played a mentally challenged girl who is raped by Hemed Suleiman and impregnated her but her mother( Hadija Kopa) suspects Nice Mohamed kuwa ndiye amembaka mwanae hivyo kumpeleka polisi. Huko polisi Mtunis anaambiwa adhabu yake ni jela miaka 30 kwa kosa la kubaka but anajifanya ni yeye ndiye alimbaka na kumpa mimba so anawaambia atamuoa ili aepuke kifungo. Anakaa nae mpaka anajifungua na siku moja akili zinamrudia ghafla na hivyo watu kujua kila kitu kuhusu tukio hilo.

Well, story ni nzuri and Riyama with her splendid performance ameifanya filamu hiyo iwe ya kuvutia sana licha ya baadhi ya waigizaji wengine kutoa performance mbaya. Hata hivyo si mara ya kwanza kwa Riyama kutoa best performance because she has done so in many of her movies including Fungu la Kukosa which made her get more attention in the industry as an actress. To be frank her performance in "The Dream" inastahili award nomination na hata kutwaa tuzo ya best actress of the year but mpaka sasa hakuna tuzo za films in Swahiliwood.Tuzo zinatakiwa zianzishwe sasa ili kutukuza vipaji kama hivi.

                                                        Actress Riyama Ally

No comments:

Post a Comment