Monday, March 11, 2013

IS SLIM OMAR NEXT AFRICAN HEARTHROB LIKE RAMSEY NOUH, VAN VICKER AND MAJID MICHAEL ?

When I saw him on screen for the first time I had to find films zake nyingine au kuzisubiri ili niangalie zaidi kipaji chake . Baada ya hapo nikagundua kuwa many of his female fans are crazy over his sexy looks, his fans are increasing everyday. Well, here I am talking about Tanzanian actor Slim Omar, nimeangalia baadhi ya films zake licha ya kuwa kawaida tu mpaka sasa katika uigizaji but he has potential to compete with African top actors if he works hard and Improving his acting skills, moja ya matatizo yanayofanya aonekane kawaida katika films zake ikiwa poor direction yaani films nyingi alizocheza mpaka sasa kuongozwa na watu wasiojua kuongoza filamu au kutokuwa makini na uongozaji wao ilimradi tu liende but kama akipata director kiwango anaweza kuwa tishio because I see acting talent in him. When I talked with the rising hearthrob(Slim) last month I discovered that he is very normal and social despite being a star tofauti na baadhi ya celebs wengine ukizungumza nao hawaishi kujivuta vuta kwa pozi kibao but Slim Omar looked normal like a long time friend pia nilimshauri baadhi ya mambo mbalimbali kuhusu his acting career na alionekana kufurahia na kupokea ushauri wangu vizuri kitu ambacho ni rahisi kumfikisha mbali kwa kukubali ushauri mzuri. Apparently If he works hard Slim might be African hearthrob like Ramsey Nouh, Majid Michael, Van Vicker, Mike Ezuruonye just to mention a few who have been driving crazy many of their female fans due to their sexy appeal. Some of  Slim's films include Family War, I am Lost, My Angel, Kivuli, Machozi Yangu and Waves of Sorrow.

                                           Slim Omar

No comments:

Post a Comment