Friday, February 8, 2013

HIVI NDIVYO ALIVYOPOKELEWA MUIGIZAJI MATUMAINI AKITOKEA MSUMBIJI

Muigizaji Matumaini tayari yupo Bongo katika hospitali ya Amana akiendelea na matibabu baada ya kupelekwa hapo na wasanii wenzake waliompokea jana majira ya alasiri katika uwanja wa ndege wa Mw. Julius Kambarage Nyerere akitokea nchini Msumbiji. Hali yake haikuwa nzuri kiasi cha wasanii wenzake kulazimika kumbeba na kumpeleka hospitalini hapo ili akapate matibabu. We are praying for her to get well soon
















No comments:

Post a Comment