Sunday, January 27, 2013

RAYUU ASEMA HATA SIELEWI SINTA ANATAKA NINI KWANGU

Muigizaji Rayuu ambaye yupo kwenye beef zito na actress mwenzake Christina Manongi maarufu kama Sinta amesema kuwa kama akipewa filamu acheze pamoja na Sinta yupo tayari akipewa pesa ya maana lakini filamu ikiisha hana time nae.swahiliworldplanet ilimuuliza Rayuu kama yupo tayari kucheza filamu na Sinta kama akitokea director na kuwa-cast pamoja, Rayuu akasema "mm naangalia mkwanja nikilipwa pesa nzuri nacheza km kawa bt nikitoka hapo cna tym naye mm!". Pia swahiliworldplanet ilimuuliza je anafikiri nini chanzo cha Sinta kumfuatafuata ni picha zake zilizodaiwa kuwa chafu au ni uzuri wake ndio unaomnyima Sinta usingizi kama baadhi ya mashabiki wa Rayuu wanavyodai na hata ku-comment katika page yake facebook, Rayuu akajibu "mimi cmuelewi yule dada anataka nn??,mm cjaona pic chafu pale labda anapenda kuweka habari zangu kwake cz hana habari za maana zaidi ya umbea!ss akiniandika blog inashine mayb!cz xmuelewi!!. Swahiliworldplanet ilimtafuta Sinta na kumtumia ujumbe wiki iliyopita lakini bado hajaujibu mpaka sasa ila bado tunamtafuta ili ujue nini kipo kwa upande wake.

No comments:

Post a Comment