Pages

Sunday, October 5, 2014

Waridi Arudi Kwa Kasi Na Filamu Ya Mchepuko Akiwa na Dino Cathy Rupia Na Dude.

Muigizaji mkongwe nchini Anna Constantine maarafu kama Waridi ambaye alitamaba sana katika tamthilia mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka 2000 amerudi tena katika game la filamu
safari hii akiwa katika filamu mpya inayoitwa Mchepuko(Simu Ya Mkononi) huku akiwa na wasanii wengine wakongwe ambao bado wanatamba sasa yaani Cathy Rupia, Dino na Dude Kulwa Kikumba. Filamu hiyo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions.

Waridi pia alicheza katika filamu ya A Point Of No Return akiwa na hayati Steven Kanumba, Wema Sepetu, Dr.Cheni na Lilian Wa Mambo Hayo.

No comments:

Post a Comment