Pages

Wednesday, October 1, 2014

Sipendi Beef Na Mtu Nipo Kikazi Zaidi: Modest Bafite

Modest
Msanii wa filamu nchini anayekuja juu kwasasa Mdest Bafite amesema kuwa hataki beef na mtu yeyote kwasababu msanii anatakiwa kuwa msafi na mkamilifu. Modest amesema kuwa yaya hapendi kuzozana na watu anataka kujikita kwenye kazi.
Hata hiyo ingawa msanii huyo hakufafanua zaidi lakini habri zinadai kuwa amehitiliafiana na msanii mwenzake ambaye pia ni producer baada ya msanii huyo kumzingua Modest katika malipo ya filamu tofauti na walivyokubaliana awali.

No comments:

Post a Comment