Pages

Tuesday, October 7, 2014

Nimeanza kushuti Filamu Kama Kawaida Baada Ya Likizo Ya Uzazi: Rose Ndauka

Star mkubwa wa filamu nchini Rose Ndauka amesema kuwa kwasasa amerudi rasmi kwenye uigizaji wa filamu baada ya kuwa nje kumlea mwanae ambaye sasa ana miezi 9 na kusema anafaa kumuacha na yeye kuendelea kufanya kazi zake za filamu kwenda location kama kawaida.

Actress huyo aliyejaaliwa kipaji na mvuto hivi majuzi alimwagana na mchumba wake wa siku nyingi Malick Bandawe ambaye pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment