Pages

Tuesday, October 7, 2014

Modest Bafite Adata Kwenye Penzi La Jokate Mwegelo !

Moyo mpweke !.....habari mpya zinasema kuwa muigizaji wa filamu nchini Modest Bafite ambaye ana asili ya Congo amedata kwenye penzi la Jokate Mwegelo ambaye pia ni muigizaji wa filamu, singer, presenter na pia fashion designer.
Inadaiwa kuwa modest anampenda sana Jokate kwa muda mrefu but hajui namna ya kumtokea kawasababu hawana ukaribu wowote ule bado na hata namba yake ya simu hana. Week kadhaa nyuma Jokate alisema kuwa yupo single na anatafuta husband material kitu amabcho kilidaiwa kumpa moyo Modest kuwa anaweza kupata bahati hiyo ya kuwa husband material wa Jokate.

Hata hivyo Modest alipoulizwa kuhusu hilo alikaa kimya bila kujibu lolote huku Jokate akishindwa kupatikana.

                                                                          Jokate

No comments:

Post a Comment