Pages

Friday, October 3, 2014

Niliachana Kabisa Na Sugu Tangu January Na Sio Sasa: Faiza Ally

Faiza
Muigizaji wa filamu nchini Faiza Ally ambaye pia aliwahi kujitosa kushiriki mashindano ya Miss Tanzania amesema kuwa ameachana na Mh.Joseph Mbilinyi "Sugu" tangu January mwaka huu na kwasasa wanamlea kwa pamoja mtoto wao Sasha waliezaa pamoja.
Akizungumza na wahiliworldplanet Faiza alisema "Tumeachana kabisa toka mwezi January Lakini tunashirikiana kulea mtoto wetu"

Juzi faiza Ally alielezea kuhusu kuachana na Sugu ambaye ni msanii mkongwe wa kizazi kipya nchini hata hivyo watu wengi walidhani wawili hao waliachana hivi juzi huku media na mitandao ikianza kuandika kumwagana kwa wawili hao kumbe walishaacha muda kidogo ila Faiza hakuweka wazi kwa wakati.

                                                        Faiza, Sugu na Sasha

No comments:

Post a Comment