Saturday, October 25, 2014

Breaking News: Sitti Mtemvu Ajivua Mwenyewe Taji La Miss Tanzania 2014, Soma Alichokisema.

Sitti Mtemvu
Habari mpya ni Sitti kuvua taji la Miss Tanzania 2014 baada ya kuandamwa sana mitandaoni na kwenye media huku mamlaka husika zikichunguza suala hilo. Kupitia page yake ya Facebook usiku huu Sitti ameandika hayo hapo chini.......


"Habari za jioni watanzania wenzangu, kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana maneno mengi yasiyo na tija juu ya hili taji la Mis Tanzania 2014......mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru ndani ya nchi yangu Tanzania, kwa roho safi nimeamua mwenyewe kulivua taji hilo na kaucha wanayeona anastahili taji hili apewe ili niendelee na maisha yangu kwa amani, isiwe shida sana kwani sitegemei taji hili ili kuishi"

No comments:

Post a Comment