Pages

Friday, October 24, 2014

Ali Kiba Akana Madai Ya Kukodisha Watu Wakamzomee Diamond.

Star wa muziki wa Bongofleva nchini Tanzania Ali Kiba amekana madai kuwa alikodisha watu ili wakamzomee Diamond Platnumz kwenye show ya Fiesta iliyofanyika tarehe 18 October.
Akizungumza na Bongo5 Kiba ambaye amesema video yake ya Mwana itatoka wiki hii au wiki ijayo alisema "Hamna ukweli wowote naanzaje?, siwezi kufanya kitu kama hicho kikubwa nawashukuru wanadar es salaam walivyonipokea, nimefurahi sana, hii imenitia moyo na kunifanya niongeze bidii kuwaandalia vitu vizuri zaidi"


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment