Pages

Wednesday, September 24, 2014

Photos: Happy Nyatawe Atua Johannesburg, S.Africa Kikazi Zaidi.

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Happy Nyatawe yupo Johannesbur, S.Africa ambako amefuata mzigo mpya kwa ajili ya wateja wake.
Happy amefuata magauni, walllet, pochi na vitu vingine vya kisasa ili kuwapa wateja wake ile kitu roho inapenda yaani bidhaa zenye ubora wa hali ya juu

Nipo South Africa kufuata mikoba mizuri kwa ajili ya wateja wangu maana sipendi kuuza vitu visivyoeleweka nasikia raha sana nikijishuhulisha kiasi hiki nilianza kwa kuuza mitumba kwakuiamkia alfajiri Ilala lakini sasa naenda mpaka nje ya nchi, Ama kweli wanawake tunaweza,  Naamini hapa nilipo nikwa neema ya Mungu tu maana wasio na haya walidiriki kunidhulumu,  Lakini kwa nguvu za Mungu nitasonga mbele zaidi. Anglia picha zaidi...........

Kwa ajili ya Oda mtafute Muigizaji na mfanyabiashara huyo hapa Happy Nyatawe

No comments:

Post a Comment