Pages

Wednesday, September 24, 2014

Mashabiki Waisubiri Kwa Hamu Filamu Ya "Mikono Salama' Toka Kwa JB, Irene Uwoya, Jokate Na Richie.

Filamu mpya kali ya Mikono Salama iliyowakutanisha mastaa wa filamu nchini JB Jacob Stephen, Irene Uwoya, Richie Single Mtambalike na Jokate Mwegelo tayari inaonekana kusubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania hasa kutokana na update zake zisozokauka huku trailer yake ikiwavutioa wengi kuwa itakuwa si mchezo movie yenyewe ianyotarajiwa kuigia sokoni tarehe 25 September.


Hakikisha unanunua nakala yako halisi upate uhondo wa movie hiyo

No comments:

Post a Comment