Monday, September 1, 2014

Nitaishi Denmark Baada Ya Kuolewa, Namshangaa Sana Aunty Ezekiel Kuwa Mbali Na Mumewe: Lucy Komba

Star wa filamu nchini Lucy Komba amemshangaa sana muigizaji mwenzake Aunty Ezekiel kuwa licha ya kuolewa kwa muda wa miaka 3 sasa na mumewe Demonte anayeishi Dubai lakini Aunty amekuwa mbali na mumewe. Kwa mujibu wake Lucy amesema kwake haiwezekani kwasababu kwasasa akishafunga ndoa anaenda kuishi na mumewe Denmark.
Akizungumza na Globalpublishers Lucy aliseama "Namshangaa Aunt anawezaje kuishi mbali na mumewe kwa kipindi kirefu, binafsi siwezi. Kama hivi ninavyotarajia kuolewa hivi karibuni, nimekubali kuachana na dili zangu zote za hapa Bongo, nikiolewa naenda kuishi Denmark kwa mume wangu,” alisema Lucy Komba.

                                                 Aunty

No comments:

Post a Comment