Pages

Tuesday, September 30, 2014

Filamu Ya Mikono Salama Yawakuna Mashabiki Na Kuigombania Sokoni.

Filamu ya Mikono Salama inaendelea kufanya vizuri sokoni kwa kugombaniwa kama njugu na mashabiki wa filamu za Kitanzania kutokana na kupenda kilichomo ndani

Filamu hiyo imewakutanisha wasanii mbalimbali wenye majina makubwa kama JB, Jokate, Irene Uwoya, Richie na hayati Adam Kuambiana,

Wahi sasa kununua nakala yako halisi ufaidi uhondo wa mikono salama.........

No comments:

Post a Comment