Filamu ya Mikono Salama inaendelea kufanya vizuri sokoni kwa kugombaniwa kama njugu na mashabiki wa filamu za Kitanzania kutokana na kupenda kilichomo ndani
Filamu hiyo imewakutanisha wasanii mbalimbali wenye majina makubwa kama JB, Jokate, Irene Uwoya, Richie na hayati Adam Kuambiana,
Wahi sasa kununua nakala yako halisi ufaidi uhondo wa mikono salama.........
No comments:
Post a Comment