Thursday, August 7, 2014

Mume Bora Yagombaniwa Sokoni Kama Njugu.

Filamu ya MUME BORA inafanya vizuri sokoni huku mashabiki walioinunua filamu hiyo wakipenda kisa chake na uchezaji wa mastaa ambao n i King Majuto, Modest Bafite, Salehe Lufedha na Nyakisory. Wahi sasa kununua nakala yako halisi ufaidi uhondo wa movie hii kali kutoka Lufedha films.

No comments:

Post a Comment