Wednesday, August 6, 2014

Jokate Mwegelo Apata Mpenzi Mpya Baada Ya Kusema Yupo Single !

Muigizaji wa filamu Tanzania Jokate Mwegelo ambaye pia ni Miss Tanzania no.2 wa mwaka 2006 anaonekana tayari amepata mpenzi mpya baada ya kupost picha inayoonekana katka mtandao mmoja wa kijamii akiwa na mwanaume mmoja jina halijatambulika haraka wakiwa kimahaba zaidi. Week ilopita Jokate ambaye pia ni mtangazaji wChannel O, mwanamuziki na designer alisema yupo single na anatafuta husband material. so tayari ameshampata au?




Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment