Pages

Thursday, July 3, 2014

Nicholous Ngoda Na Meya Shabani Waja Kivingine.

Wasanii maarufu wa filamu nchini Nicholaus Ngoda na Meya Shabani maarufu kama Aki na Ukwa wa Tanzania wanakuja na kazi mpya ambayo inatarajiwa kuwabamba mashabiki wao. Akizungumza na SWP Nicholaus Ngoda alisema " nipo location na kampuni yangu mpya tunaandaa isidingo itaruka tv station.nipo mimi pacha yangu,mzeekatembo, MC'kenyata,Bi moza na wasanii mbalimbali wa SWAHILI WOOD TZ. Itakua na radha ya vichekesho"


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment