Pages

Wednesday, July 2, 2014

Namshukuru Mungu Kwa Kuwa na Miguu Ya Beer: Diana Kimaro

Diana Kimaro
Diana Kimaro kwa vituko hajambo !...... new gossip kutoka kwa rafiki wa karibu na star huyo ni kuwa Diana huwa anajitapa kuwa na miguu ya bia yaani miguu minene yenye mvuto kwa madai mastaa wenzake wengi wa kike hawana. Chanzo hicho kimesema kuwa Diana anavaa vimini na magauni mafupi muda wote sababu ya miguu hiyo ya bia aliyojaaliwa ikidaiwa wanaume wanadata nayo
" Diana kila siku anajisifu kwa kuwa na miguu ya bia, yaani anamshukuru Mungu, kwani nyie mshawahi kumuona akivaa nguo ndefu? basi jibu ni hilo ana guu la kimini(huku akiangua kicheko), wanaume wengi wanamsifia ndo sababu vimini haachi" kilisema chanzo hicho.

Hata hivyo Diana anayetamba sasa na filamu za Danija na Kigodoro hakuweza kupatikana kuzungumzia issue hiyo ya kuwa na miguu ya beer...lol

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment