Pages

Wednesday, July 2, 2014

Mtunisy Amsaka Anayetaka Kuivunja Ndoa Yake.

Habari mpya ni kuwa Star wa filamu nchini Mtunisy Nice Mohamed anamsaka mtu anayetaka kuivunja ndoa yake ambapo Mtunisy mwenyewe anadai yupo vizuri sana na mkewe na hawana mgogoro wowote. Siku za hivi karibuni habari kuhusu ndoa ya star huyo wa filamu za Tomboy, Mrembo Kikojozi na Clinic Love zimekuwa zikipamba magazeti na mitandao mbalimabli huku ikidaiwa kuwa anataka kurudiana na star mwenzake Yobnesh Yusuph "Batuli" ambaye waliwahi kuwa wapenzi kipindi cha nyuma.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

1 comment:

  1. Utachomwa moto kutwa upo na batuli huyo mkeo nae ni mfu naona

    ReplyDelete