Monday, July 14, 2014

Mzee Onyango Aja Na Mpya Na Kuwashika Mashabiki

Hatimae muigizaji wa siku nyingi nchini Mzee onyango amekuja na vichekesho vya muda mfupi ambavyo, vimewakamata mashabiki wengi sana ndani na nje ya nchi. Vichekesho hivyo tayari vinapatikana you Tube na WhatsApp No.  0716026089 katika account ya Kabuti Onyango kwa hiyo unaweza kuvitafuta.

Mzee Onyango ni mmoja wa waigizaji wakongwe nchini huku bado akiendelea kupata deals za filamu mpaka sasa.



No comments:

Post a Comment