Monday, June 16, 2014

Wema Sepetu Afunguka Baada Ya Kudaiwa Ni Mjamzito Wa Week 7.

Wema
Jana zilisambaa habari kuwa Wema Spetu ni mjamzito wa week 7 na hali hiyo ilifahamika wakati akiwa S.Afrika kuhudhuria tuzo za MTV Africa Music Awards 2014. Hata hivyo kupitia Instagram leo star huyo amekanusha habari hizo kwa kusema "jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant...... sijui watu wanatolea wapi!...I'm not.....Dah .....I wish I was....but I'm not wapenzi wangu"

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment