Tuesday, June 17, 2014

Siwezi Kuchangia Penzi Na Wema Sepetu Kwa Diamond: Hamisa Mobeto

Hamisa
Tanzanian gorgeous model and actress Hamisa Mobeto amesema kuwa hawezi hata siku moja ku-share penzi na Wema Sepetu kwa Diamond ambao kwasasa wanatoka kimapenzi. Akizungumza na mtandao mmoja Hamisa ambaye anatarajiwa kuonekana katika filamu mpya toka RJ Company akiwa na Ray na Wolper alisema
"Siwezi kushea penzi na Wema hata siku moja niamini, nina maisha yangu mengine kabisa wapo wanaoweza kufanya hivyo lakini si mimi"

Kwa muda mrefu Hamisa amekuwa akitajwa kutoka na Diamond kisirisiri ingawa mwenyewe ameshakanusha mara kadhaa.
Hamisa

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment