Pages

Saturday, June 28, 2014

Neema Wa 20%, Kipaji Cha Filamu Kinachopaswa Kupewa Nafasi.

Neema WA 20%
Kwa mara ya kwanza nilipomuona Neem Wa 20% katika filamu ya Furaha Iko Wapi nilivutiwa na uigizaji wake. Hata filamu zake za hivi karibuni zilizotoka kama vile Jicho Langu akiwa na kina Odama na Gabo na Elimu Mtaani akiwa na Yusuph Mlela performances zake ni nzuri. Hata hivyo cha kushangaza muigizaji huyu mwenye uwezo wa kucheza mbele ya kamera bado hapewi nafasi kubwa kwenye filamu nyingi anapewa nafasi za uhusika usaidizi huku wauza sura wasiojua kuigiza wakipewa nafasi kubwa na muhimu na kuishia kuvurunda.

Ili kumjua zaidi Neema Wa 20% endelea kusoma SWP tutakuletea habari zake za kikazi na maisha binafsi ili umjue zaidi.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment