Pages

Saturday, June 21, 2014

Msami Afunguka Kuhusu Penzi Lake Na Irene Uwoya, Pia Waja Na Filamu Ya Pamoja.

Uwoya na Msami
Msami Giovann ambaye ni mwalimu wa kucheza THT amefungukia madai ya kuwa ni serengeti boy kwa Irene Uwoya ambaye ni wapenzi. Msami mwenyewe amekiri kuwa wapenzi na Uwoya wakati akifanya mahojiano na Times Fm, pia alisema kuna filamu yao mpya ya pamoja inayohusu muziki na dance akiwa na Uwoya na inatarajiwa kutoka mwaka huu.
"Unajua mimi mwanzo, Serengeti Boy nilikuwa sina tafsiri yake kabisa yaani. Yaani ile deeply nilikuwa sina tafsiri yake kabisa yaani. Kwa hiyo leo ndio nimepata tafsiri yake ‘Serengeti Boy’ kumbe ni mtu ambaye amezidiwa umri. Tofauti na mimi nilivyokuwa nawaza kuhusu Serengeti Boy.
“Lakini mbona nikasema kama ni hivyo, as we are best friends lakini (joke), lakini mbona mimi nimemzidi umri Uwoya. Lakini mimi ni mkubwa kwake sema yeye ananizidi umri. Mimi ni mkubwa kwake nimemzidi miezi mingi…yaani wewe jua nimemzidi miezi mingi. Mimi ni mkubwa kwa Uwoya" Amesema  Msami 
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment