Muigizaji wa Kenya Ashley Toto anayefanya shughuli zake nchi za Scandinavia ameamua kusitisha kwamza mambo ya u-promota na kujikita kwanza kwenye masuala ya filamu. Ashley ameshafanya kazi pamoja na wanamuziki kadhaa wa Afrika mashabriki wakiwemo, Ali Kiba, na Jaguar. Kupitia Instagram aliandika..
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment