|
Coletha |
Star wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Swahiliwood Coletha Raymond amewapa makavu live wasanii na wanawake wanaopenda kujichubua kwa kusema kuwa hawajitambui ndiyo maana wanadhani kuwa mweusi si urembo na weupe ndiyo urembo. Coletha alisema kuwa wengi wanaotumia mkorogo huishia kuharibu ngozi zao kuliko walivyokuwa awali. Coletha alisema kuwa wapo wanawake wengi weusi ni wazuri na warembo sana kuliko wanawake weupe kwa hiyo wanaojichubua na kutumia mkorogo wakaulize kwanza madaktari madhara ya kujichubua ambayo mojawapo ni kupata kansa ya ngozi.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni Ijumaa hii April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and
No comments:
Post a Comment