Muigizaji wa filamu anayekuja kwa kasi katika tasnia hiyo nchini Peter Phinias ametoa picha mpya akiwa katika muonekano mpya kama anavyoonekana hapo juu. Peter ambaye hufananishwa na marehemu Steven Kanumba kimuonekano tayari ameigiza filamu kadhaa kama vile Mahaba Niue akiwa na Jackline Wolper na Saimon Mwapagata "Rado" na filamu yake mpya inakuja muda sio mrefu.
No comments:
Post a Comment