Monday, May 5, 2014

Wanamuziki Wa Tanzania Tupo Juu Kimuziki Ila Ni Wanafiki Na Hatupendani: Tundaman

Mwanamuziki maarufu wa kizazi kipya nchini Tundaman amewachana baadhi ya wanamuziki wenzake nchini kuwa hawana umoja zaidi ya kuendekeza majungu na unafiki kitu ambacho kinapelekea wanyonywe kazi zao na kuishia kuburuzwa tu. Kupitia Instagram Tundaman ameandika

"ndani ya east Africa wabongo tunaimba sana kuliko wenzetu ila wanamuziki wa kibongo hatupendani, tumejaa majungu, wanafiki hatuna umoja that is why tunaburuzwa tu....ameen"

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni siku yoyote kuanzia sasa, hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment