Friday, May 23, 2014

Sabby Angel Achumbiwa Na Mwanamuziki Maarufu Wa Kenya.

Sabby Angel
New gossip ni kuhusu Sabby Angel kuchumbiwa na mwanamuziki maarufu wa nchini Kenya. Chanzo kimoja  kimeimbia Swahiliworldplanet kuwa Sabby Amechumbiwa hivi majuzi na muda si mrefu wataweka wazi kila kitu na mchumba wake huyo. Hata hivyo Sabby alipoulizwa hakutoa jibu lolote ingawa mapema wiki hii alibadilisha profile yake ya Facebook kutoka single na kuwa engaged.
Kwasasa muigizaji huyo ambaye pia ni mwanamuziki yupo nchini Kenya kwa maandalizi makubwa ya kulipuka na single yake mpya itakayomtambulisha vizuri kwenye game la muziki.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Filamu ya SIO SAWA tayari ipo sokoni nunua nakala yako halisi sasa

No comments:

Post a Comment