Monday, May 26, 2014

Nisha Avamiwa Na Kundi La Watoto Mashabiki Wa Filamu Zake.

Nisha akiwa na baadhi ya watoto hao na cameraman wa Nisha's Film Production
Juzi star wa filamu nchini Salma Jabu Nisha alivamiwa na kundi la watoto baada ya kuingia kwenye mgahawa wa Marrybrown kupata msosi. Kwa mujibu wa chanzo kimoja katika mgahawa huo kulikuwa na birthday sasa watoto walipomuoana Nisha wakamkimbilia na kuanza kuimba nyimbo zake kutoka filamu ya Gumzo iliyotoka wiki kadhaa nyuma. Nisha aliamua kuwatuliza watoto hao kwa kupiga nao picha.

Kwa upande mwingine filamu mpya ya Nisha inayoitwa ZENA NA BETINA itaingia sokoni tarehe 29 mwezi huu. usikose kununua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment