Monday, May 26, 2014

Batuli Na Steve Nyerere Wamaliza Tofauti Zao.

Mastaa wa filamu nchini Yobnesh Yusuph "Batuli" na Steve Nyerere wanadaiwa kupatana kwa kuondoa tofauti zao baada ya wiki kadhaa nyuma kutofautiana kisa kikidaiwa ni Steve Nyerere kumtaka Batuli acheze filamu yake mpya pasipo kumpa Batuli muda wa kutosha kujiandaa na details za kutosha kuhusu character yake katika movie hiyo. Juzi kupitia mtandao mmoja Batuli alipost picha hiyo hapo juu akiwa na Steve ambaye pia ni mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie Unity.

No comments:

Post a Comment