|
Jackline Wolper |
Filamu Ya Tom Boy inaendelea Kufanya vizuri sokoni kutokana na watu kuichangamkia kuinunua kuona walichokifanya Jackline Wo,lper na Nice Mohamed "Mtunisy" huku wasanii wengine kama vile Abdallah M kumbillah "Muhogo Mchungu" wakifanya kweli ndani ya movie hiyo kali.
|
Mtunisy |
No comments:
Post a Comment