|
Martin Kadinda |
Je wewe ni kijana wa kiume mwenye upeo wa mambo ya fashion na pia una muonekano mzuri na umekuwa na ndoto za kuwa mtangazaji wa Tv kuhusu mambo ya fashion?, kama jibu ni ndiyo basi nafasi hii hapa kutoka kwa Martin Kadinda ambaye ni fashion designer na pia meneja wa Wema Sepetu. kupitia mtandao mmoja wa kijamii Kadinda ameandika "Una uelewa wa fashion ?? Ni kijana wa kiume na unaamini una muonekano
mzuri katika Tv?? na una ndoto za kuwa mtangazaji?? Email me at
martinaloyce@gmail.com this might be your lucky year....as am producing a
tv show and nina nafasi moja ya mtangazaji wa kiume"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment