Wednesday, April 2, 2014
Filamu ya Jicho Langu Toka Kwa Odama Kuingia Sokoni Kesho Tarehe 3 April.
Filamu ya JICHO LANGU toka kwa Odama Jennifer Kyaka itaingia rasmi sokoni kesho tarehe 3 mwezi huu wa nne. Filamu hiyo inasambazwa na Steps Entertainment huku ikiwa imewakutanisha Odoma, Salim Ahmed(Gabo Zigamba), Grace Mapunda na Thadeo Alexander. Filamu imetengenezwa na kampuni ya J-Film 4 Life inayomilikiwa na Odama. Hakikisha unapata nakala yako halisi ya filamu hii yenye kisa cha kusisimua.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment