Wednesday, April 30, 2014

Jackline Wolper Na Mtunisy Waja Kivingine Kabisa.

Jackline Wolper
Mastaa wakubwa wa filamu nchini Jackline Wolper na Nice Mohamed "Mtunisy" wanaonekana kusubiriwa kwa hamu kubwa na filamu yao mpya ya TOM BOY(Jike Dume) inayotoka tarehe 1 May mwaka huu. Katika filamu hiyo kali Wolper na Mtunisy wanadaiwa kuja kivingine kabisa huku story ikiwa na fundisho kwa jamii. Hakikisha unanunua nakala yako halisi


                                                                       Mtunisy
Mtunisy
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni Ijumaa hii April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment