Tuesday, March 4, 2014

Photos: Kutoka Kwenye Birthday Party Ya Muigizaji Selembe Toko.

Muigizaji wa filamu za kiswahili nchi za Scandinavia anayeishi Denmark alisherehekea siku yake ya kuzaliwa(birthday) juzi tarehe 3 mwezi huu wa march na kufanya party ndogo na watu wake wa karibu. Angalia picha hapo chini...............



keki hiyo yaani ni full kuitamani .......!

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment