Odama |
Tuesday, March 4, 2014
Odama, Gabo, Grace Mapunda, Thadeo Alexander Wafanya Makubwa Kwenye Filamu Ya Jicho Langu.
Star mkubwa wa filamu nchini Odama Jennifer Kyaka amesema kuwa filamu yake mpya ya JICHO LANGU si ya kukosa kwa mashabiki wa filamu za kiswahili kwani humo ndani wamefanya makubwa sana na kuna matukio ya kusisimua kutokana na story ya filamu ghiyo iliyowakutanisha mastaa kadhaa kama Odama, Salim Ahmed(Gabo), Thadeo Alexander na Grace Mapunda. Jicho Langu imetengenezwa na kampuni ya J-Film 4 Life na inatarajiwa kuingia sokoni rasmi tarehe 31 mwezi huu wa 3. hivyo usikose nakla yako halisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment