Je Una Swali Lolote Ungependa Kumuuliza Odama Na Alijibu? Basi uliza Hapa.
|
Odama |
Je una swali lolote zuri na ungependa
kumuuliza Odama Jennifer Kyaka na alijibu? kama ndiyo basi liandike
swali lako kwa kutoa comment hapo chini tutamfikishia Odama na atakuwa akijibu swali moja lenye uzito
kila siku katika kipindi cha siku 20.
Usitumie lugha ya matusi au maswali yasiyo na
maana. Ahsanteni
Filamu ya JICHO LANGU kutoka kwa Odama itaingia sokoni tarehe 31 mwezi huu wa tatu
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment