Thursday, March 27, 2014
Diamond Platinumz Apendekezwa Tuzo Za Kora Awards 2014, Tafadhali Mpigie Kura Hapa.
Superstar wa muziki wa Bongofleva Tanzania, Diamond Platinumz
amependekezwa kuwania tuzo za Kora Awards akiwa na wanamuziki mbalimbali
wa Afrika. Ukiwa kama mtanzania uwe shabiki wa Diamond hata usiwe
shabiki wake tafadhali mpigie kura Diamond ili ashinde tuzo na kuiletea
sifa Tanzania. Unachotakiwa ni ku-like page yao official ambayo ni hii Kora Awards
halafu comment kwa kuandika jina Diamond Platinumz katika kila post
wanayoweka, hakikisha una-like page yao kwanza ili kura yako ihesabike.
Pia unaweza kuingia kwenye website yao hapa www.koraawards.org
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment