Monday, March 31, 2014

Actor Rammy Galis Wa Tanzania Kuigiza Filamu Moja Na Anorld Schwarzenegger Wa Hollywood.

Rammy Galis
Muigizaji wa filamu Swahiliwood Tanzania, Rammy Galis amesema yupo mbioni kucheza filamu pamoja na Anorld Schwarzenegger toka Hollywood ambaye pia aliwahi kuwa gavana wa jimbo la Carlfonia. Kwa mujibu wa Delduero star huyo wa filamu za Snitch na Fan's Death alisema "yeah nataka kufanya movie na huyo jamaa na hii ni kwasababu nataka kufanya movie yangu iwe utofauti mkubwa sana ukilinganisha na movie nyingine za kibongo na mpaka sasa tumekwishakubaliana na Anorld Swcharzenegger na wakati wowote atatua hapa nchini kwa ajili ya movie hiyo"

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment