Saturday, February 1, 2014

MUIGIZAJI SABBY ANGEL ANADAIWA KUWA FREEMANSON.

Muigizaji wa filamu Salma Tamim(Sabby Angel) anadaiwa kuwa freemanson, inadaiwa picha alizopiga hivi karibuni muigizaji huyo anayekuja juu zina ishara zote ya freemanson. Rangi nyeusi ambayo inadaiwa kupendelewa sana na wafuasi wa dini hiyo ameonekana kuitumia pamoja na pozi za kuziba jicho moja, gothic make up, hereni za pembe tatu(triangle earings) alizovaa pichani na necklace pendalts aliyovaa.

Ukiachilia mbali ya hayo inadaiwa stylist wake wa nchini Kenya ambako alipiga picha hizo ni Freemanson na watu wanajua kuwa ni freemanson, vile vile Sabby ameanza kuvutia media za Kenya na kuandikwa katika magazeti ya Standard Magazine na Pulse licha ya kuwa msanii mchanga nchini Tanzania.

                                                             Sabby Angel
Wewe unazionaje hizo picha na mapozi ya Sabby?
 
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment