Kajala Anusurika Kufa Baada Ya Kulishwa Sumu Kwenye Show Ya Izzo Buzness.
|
Kajala |
Kajala Masanja ambaye ni star wa filamu nchini amelishwa sumu juzi wakati alipohudhuria show ya mwanamuziki Izzo Buzness, Hata hivyo kajala alipelekwa hospitali na kuruhusiwa baada ya afya yake kuendelea vizuri.
Akizungumza na Bongomovies Kajala alisema "Jana (juzi) nilivyokuwa kwenye shoo ya Izzo ghafla nikaanza kuumwa
nikapelekwa home halafu nikaenda hospitali. Nilivyo pimwa nikakutwa
nimekunywa kitu chenye sumu lakini namshukuru Mungu naendelea vizuri, ahsante Mungu kwa kila jambo"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment