Thursday, January 23, 2014

WASTARA JUMA NA DIANA KIMARO KUTOANA JASHO KATIKA FILAMU MPYA.

Mastaa wa filamu nchini Wastara Juma na Diana Kimaro wapo location kwasasa wakishuti filamu mpya. Ujio wa waigizaji hao ambao wote wawili wana vipaji vya uigizaji unaonekana kusubiriw kwa hamu kubwa na mashabiki wa filamu nchini. Hapo chini ni Wastara na Diana Kimaro wakishuti filamu hiyo.

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment