Monday, December 2, 2013

PHOTOS: BONGO MOVIE YAICHAPA BONGOFLEVA MAGOLI 3-2, ANGALIA PICHA ZA MASTAA MBALIMBALI.

Jana kulikuwa na mechi kati ya wasanii wa Bongo movie na wale wa Bongofleva katika viwanja vya TTC Chang'ombe huku Bongofleva ikiishia kunyukwa magoli 3 kwa 2. Mastaa mbalimbali kama vile Ray, Richie, Jackline Wolper, H.Baba , Abdul Kiba, KR Mullah, JB, Baba Haji, Efranciah Mangii, Shamsa Ford, Cloud na wengineo walikuwepo kwa ajili ya kunogesha issue hiyo. Angalia exclusive picha za tukio hilo ambazo Swahiliworldplanet ilizipata......

Richie na Jb

team ya Bongo movie
team ya Bongofleva
kupasha viungo kwanza kabla ya kipute kuanza rasmi
Cloud alilalamika sana baada ya kutolewa na kuwekwa benchi!
Kupa na wenzake
JB huyoooooooo.................Cloud pembeni
KR na Abdul Kiba
Rachel Haule na Efranciah Mangii
Badra Idabu na Efranciah
Ray na Chekibudi



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment