Sunday, December 1, 2013

FIRST LOOK: TOMBOY STARS JACKLINE WOLPER AND MTUNISY.

Tomboy(Jikedume) ni filamu mpya ambayo imewakutanisha mastaa mbalimbali kama vile Jackline Wolper, Nice Mohamed(Mtunisy), Abdallah Mkumbilah(Muhogo Mchungu) na Seif Mbembe. Behind the scenes ya hii filamu ambayo Wolper amecheza kama captain wa team ya michezo huku akiwa na tabia za kiume na Mtunisy akiwa kama kocha tuliziweka hapa na hilo hapo chini ni kava la filamu hiyo ambayo bado kutoka so ukae mkao wa kula.


No comments:

Post a Comment